Daktari ameshtaki serikali juu ya uamuzi wake wa kuwapa wawakilishi wadi ruzuku ya gari.

Muhtasari
  • Daktari ameshtaki serikali juu ya uamuzi wake wa kuwapa MCAs ruzuku ya gari
  • Ruzuku hiyo ilitolewa kufuatia agizo la rais Uhuru Kenyatta.

Daktari ameshtaki serikali juu ya uamuzi wake wa kuwapa MCAs ruzuku ya gari.

Daktari ameshtaki serikali juu ya uamuzi wake wa kuwapa MCAs ruzuku ya gari.

Ruzuku hiyo ilitolewa kufuatia agizo la rais Uhuru Kenyatta.

 

Alisema kuwa wawakilishi wadi walijitolea kwa ofisi bila kushurutishwa na kwa hivyo hawapaswi kugeuka na kuwapa mkono Wakenya au ofisi yoyote ya serikali.

"... hawapaswi kuwasaliti Wakenya na ofisi zingine za serikali kukubali maswala yao ya kibinafsi yaliyowekwa kama masilahi ya kitaifa," alisema.

Mengi yafuta;