Rais Uhuru asherehekea siku ya kuzaliwa ya rais wa zamani Mwai Kibaki

Muhtasari
  • Rais Uhuru Kenyatta amewaongoza Wakenya kumtakia aliyekuwa Rais wa tatu Mwai Kibaki heri njema siku yake ya kuzaliwa
  • Familia, viongozi na Wakenya walijitokeza kwenye mitandao ya kijamii kumtakia afya njema
Rais mstaafu Mwai KIbaki
Image: state house

Rais Uhuru Kenyatta amewaongoza Wakenya kumtakia aliyekuwa Rais wa tatu Mwai Kibaki heri njema siku yake ya kuzaliwa.

“Mheshimiwa, tunakutakia majaliwa ya Mungu yanayoendelea unaposherehekea miaka 90 leo Mheshimiwa Rais. Heri na baraka za kuzaliwa Mhe. Mwai Kibaki, Rais wa 3 wa Jamhuri ya Kenya,” Ikulu ya Kenya iliandika.

Akiwa rais wa tatu wa Kenya, Kibaki anakumbukwa sio tu kwa kukuza uchumi wa Kenya na kujitolea kwake kupanua miundombinu ya nchi wakati wa uongozi wake.

Familia, viongozi na Wakenya walijitokeza kwenye mitandao ya kijamii kumtakia afya njema rais mstaafu na pia kumthamini.

Hizi hapa baadhi ya jumbe za wakenya wakimtakia rais wa 3 wwa kenya heri njema siku yake ya kuzaliwa;

George Baiya: We celebrate H.E Mwai Kibaki on his 90th, proud of his achievements for self and for country and his legacy lives on. If only he became president back in 1992 and Kenya would be 1st world, but YK92 now Tangatanga could not let that happen coz indeed the Chief priests of poverty.

D.K Wambua: President Kibaki is a November baby like myself. Happy 90th birthday, Your Excellency! May you have a long life and good health.

Michael Kariuki: Happy birthday your Excellency you set a very good base for our country economic brake off.

Karuhi: The best performer and democratic president kenya history long life Emillio

Esmerz: Happy birthday H.E Mwai Kibaki we were safe in your hands.