Rais William Ruto ametangaza baraza lake la mawaziri.
Akitangaza rais amempokeza majukumu mengi naibu rais Rigathi Gachagua ikiwemo kuongoza kamati za baraza la mawaziri.
Baraza la mawaziri ni kama ifuatavyo .
Rigathi Gachagua – Atasaidia rais katika majukumu yote ya urais, na kuongoza kamati za baraza la mawaziri.
Musalia Mudavadi – Waziri mkuu
Kindiki Kithure - Waziri wa masuala ya ndani
Njuguna Ndugu – Fedha
Aisha Jumwa – Waziri wa utumishi wa umma na jinsia
Aden Duale – Ulinzi
Alice Wahome – Waziri wa Maji
Alfred Mutua – Waziri wa mambo ya nje
Moses Kuria – Waziri wa Biashara na Viwanda
Rebecca Miano – Waziri wa Jumuia ya Afrika Mashariki
Kipchumba Murkomen – Waziri wa barabara
Roselinda Soipan Tuya - Waziri wa Mazingira
Zachary Mwangi Njeru – Waziri wa Ardhi
Penina Malonza – Waziri wa Utalii
Mithika Linturi – Waziri wa Kilimo
Susan Nakhumicha Wafula – Waziri wa Afya
Eliud Ewalo – Waziri wa mawasiliano
Ezekiel Machogu – Waziri wa Elimu
Davis Chrchir – Waziri wa mafuta
Ababu Namwamba – Waziri wa Michezo na vijana
Simon Chelugui – Waziri wa ushirika
Salim Mvurya – Madini na uchumi wa majini
Florence Bore – Waziri wa Leba
Justin Muturi - Mwanashria Mkuu
Mercy Wanjau – Katibu wa baraza la mawaziri.