Siku ya Jumapili, mchezaji wa klabu ya Manchester United, Carlos Casimiro almaarufu Casemiro alionyeshwa kadi nyekundu wakati wa mechi ya ugenini dhidi ya Southampton.
Kadi ya Jumapili ilikuwa ya pili kuonyeshwa kwa kiungo huyo wa kati wa Brazil katika msimu huu wa 2022/23.
Katika grafiki hii, tunaangazia wachezaji wengine ambao waliwahi kuonyeshwa kadi nyingi katika msimu mmoja wa Ligi Kuu.