- Ilitangazwa na rais wa FIFA, Gianni Infantino mwaka wa 2019.
- Ilizinduliwa mara ya kwanza na CAF mnamo Agosti 10, 2022.
- Ilianza rasmi Oktoba 20, 2023 jijini Dar es Salaam, Tanzania.
- Rais wa FIFA, Gianni Infantino na kocha wa zamani, Arsene Wenger walikuwepo siku ya ufunguzi.
- Ilipangwa kujumuisha vilabu 24, CAF ikapunguza hadi 8 kwa msimu wa kwanza.
- Timu zilichaguliwa kutoka kwa ligi 8 bora barani Afrika.
- Timu zote zinazoshiriki zina uhakika wa kutunzwa Ksh 150m
- Timu zitakazotinga nusu fainali zitazawadiwa Ksh 255.1m
- Timu itakayoibuka ya pili itaondoka na Ksh 450.24m
- Washindi watapata Ksh 600.32m