logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Wafahamu wanasoka wa Afrika waliozirai uwanjani na kufariki

Raphael Dwamena wa Ghana alipatwa na mshtuko wa moyo akiwa anacheza uwanjani, hali iliyopelekea kifo chake cha ghafla.

image
na Samuel Maina

Habari14 November 2023 - 11:59

Muhtasari


  • •Dwamena, 28, alifariki nchini Albania baada ya kuzimia uwanjani wakati kwa mchuano baina ya klabu yake ya KF Egnatia na Partizani.
wa Afrika waliozirai uwanjani na kufariki.

Waghana wanaomboleza kifo cha mmoja wa washambuliaji bora kuwakilisha taifa hilo katika mashindano ya kimataifa, Raphael Dwamena aliyekata roho siku ya Jumamosi.

Dwamena, 28, anaripotiwa kufariki dunia nchini Albania baada ya kuzimia uwanjani wakati kwa mchuano baina ya klabu yake ya KF Egnatia na Partizani siku ya Jumamosi.

Ripoti zinaashiria kuwa mchezaji huyo wa zamani wa Levante alipatwa na mshtuko wa moyo akiwa anacheza uwanjani, hali iliyopelekea kifo chake cha ghafla.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved