Siku ya Alhamisi, mkuu wa Utumishi wa Umma, Felix Koskei anataka maafisa 74 kusimamishwa kazi kwa tuhuma za ufisadi.
74 hao ni pamoja na:-
- Fredrick Mwamati, Mkurugenzi Mtendaji wa Ofisi ya Maendeleo ya Maji ya Tanathi.
- Stephen Ogenga, Mkurugenzi Mkuu wa NITA.
- Stanvas Ong’alo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Makumbusho ya Kitaifa ya Kenya.
- Benjamin Kai Chilumo, Mkurugenzi Mtendaji wa Sekretarieti ya Huduma Center.
- Peter Gitaa Koria, Mkurugenzi Mtendaji wa Bomas of Kenya.
- Anthony Wamukota, Meneja Mkuu wa KETRACO.
- Esther Wanjiru Chege, Mhasibu wa KeRRA.
- Maafisa 67 wa polisi.