Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Francis Ogolla amezikwa nyumbani kwake katika Kaunti ya Siaya.
Katika hafla hiyo iliyoambatana na hali ya huzuni, Ogolla alizikwa bila jenezamwendo wa saa tisa alasiri nyumbani kwake Ng'iya.
Waliohudhuria ni Rais William Ruto, Naibu wake Rigathi Gachagua, na Waziri Mkuu Musalia Mudavadi miongoni mwa wengine.
Mengi yanafuata...