logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Sacco za matatu za maeneo mbalimbali Nairobi zilizopokonywa leseni za kuhudumu

Kwa jumla, NTSA ilifutilia mbali leseni za kuhudumu za sacco 64 Kenya yote.

image
na Davis Ojiambo

Habari03 May 2024 - 11:27

Muhtasari


  • • NTSA iliwataka abiria kutoabiri magari ya sacco hizo huku pia ikiomba polisi wa trafiki kufanya kazi yao kwa kuyashikilia magari hayo iwapo yatakiuka agizo la kupokonywa leseni za kuhudumu.
  • • Welkan 48 Travellers inayohudumu kutoka Kawangware, Lavington kuelekea Westlands ni moja ya sacco NTSA ilitangaza kubatilisha leseni yao ya kuhudumu.
SACCO ZA MATATU ZILIZOFUTILIWA MBALI

1. Taratibu Travels Ltd (Nairobi, Kisumu, Busia)

2. Salty Supporters Investments Ltd (Ronald Ngala, Allsops, Thika Road, Utawala, Kangundo)

3. Safeline Matatu Sacco Ltd (Railways, Dagoretti, Kikuyu)

4. Eleventh Hour Transport Sacco (Railways, Mbagathi, Lang’ata, Kiserian)

5. Indo Star Sacco – Muthurwa, Imara, Jogoo Rd, Mlolongo)

6. Telaviv Travellers Ltd (South B;C, Eastleigh, Gikomba, Fedha)

7. Welkan 48 Travellers Sacco (Westlands, Lavington, Kawangware)

8. Mwirona Sacco (CBD, Kasarani, Mwiki)

9. Manama Travellers Ltd (CBD, mathare, Gikomba, Kangundo)

10. Runka services Cooperatives (Odeon, Pangani, Limuru, Karura, Wangige)


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved