Rais William Ruto amewateua mawaziri 11 wa baraza la mawaziri kwa serikali yake.
Uteuzi huo unajiri wiki kadhaa baada ya Rais kulifuta baraza lake lote la mawaziri isipokuwa Waziri Mkuu Musalia Mudavadi.
Hii hapa orodha ya CSs wapya walioteuliwa
Mambo ya Ndani - Kithure Kindiki
Afya - Dk. Debra Mulongo Barasa
Elimu - Julius Ogamba
Ulinzi - Aden Duale
Kilimo - Dk Andrew Karanja
Mazingira - Soipan Tuya
Maji - Eric Muriithi
ICT - Dk Margaret Ndungu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali - Rebecca Miano
Ardhi - Alice Wahome
Barabara na Usafiri- Davis Chirchir