logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Tazama baadhi ya makosa yaliyojitokeza siku za kwanza za Olimpiki ya Paris

Kamati ya Olimpiki ya Paris imeomba radhi kwa baadhi ya makosa kama vile Korea Kusini kutambulishwa kama Korea Kaskazini.

image
na SAMUEL MAINA

Habari29 July 2024 - 12:50

Muhtasari


  • •Kamati ya Olimpiki ya Paris imeomba radhi kwa baadhi ya makosa kama vile Korea Kusini kutambulishwa kama Korea Kaskazini, picha ya mfano wa ‘Last Supper' kutumika, na Sudan Kusini kuchezewa wimbo wa taifa usio sahihi.
Makosa yaliyojitokeza siku za kwanza za mashindano.

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved