Aliyekuwa waziri Joe Nyaga aaga dunia

Muhtasari
  • Aliyekuwa waziri Joe Nyaga aaga dunia kutokana na virusi vya coona

Waziri wa zamani wa Maendeleo ya Ushirika Joe Nyaga aaga dunia, ripoti zinazo fikia radiojambo ziliarifu kwamba Nyaga aliaga Ijumaa alipokuwa anapokea matibabu.

Kulingana na familia yake mwendazake aliaga kutokana na virusi vya corona.

Nyaga alizaliwa nwaka wa 1948, alikuwa mwanachama wa chama cha ODM.

Mengi yafuata;