Tanzia:Balozi Orie Rogo Manduli ameaga dunia

Muhtasari
  • Balozi Orie Rogo Manduli ameaga dunia Ripoti zilizotufikia zinathibitisha kwamba mwanasiasa huyo wa zamani aliaga akiwa  nyumbani kwake Riverside
  • Orie atakumbukwa kama mwanamke mzuri ambaye  alipigania kile alichokiamini
Orie Rogo Manduli
Image: Maktaba

Balozi Orie Rogo Manduli ameaga dunia Ripoti zilizotufikia zinathibitisha kwamba mwanasiasa huyo wa zamani aliaga akiwa  nyumbani kwake Riverside.

Orie atakumbukwa kama mwanamke mzuri ambaye  alipigania kile alichokiamini.

Marehemu Orie alizaliwa Maseno kwa Gordon Rogo, mwalimu mkuu na baadaye diwani, na Zeruiah Adhiambo aliyefundisha katika Chuo cha Ufundi cha Kisumu.

Mbunge huyo wa zamani alikuwa akiugua ugonjwa ambao haujafahamika kwa muda sasa.

Mengi yafuata;