Eugene Wamalwa waziri wa Ulinzi huku Uhuru akifanya mabadiliko katika baraza la mawaziri

Muhtasari
  • Rais Uhuru Kenyatta amefanya mabadiliko ya Baraza lake la Mawaziri

Rais Uhuru Kenyatta amefanya mabadiliko ya Baraza lake la Mawaziri.

Katika mabadiliko yaliyotangazwa Jumatano, Charles Keter ambaye alikuwa waziri wa Kawi sasa amepelekwa katika wizara ya Ugatuzi, Monicah Juma aliyekuwa katika Wizara ya Ulinzi amepelekwa katika Wizara ya Kawi. PS wanne pia wamepewa kazi nyingine.

Mabadiliko yanaanza mara moja.

Mengi yafuata;