Sehemu ya bunge yawaka moto baada ya waandamanaji kuingia ndani

Waandamanaji hao pia walichoma idadi ya magari ya Polisi huku hali ya wasiwasi ikiongezeka nje ya bunge.

Muhtasari
  • Waandamanaji hao waliingia ndani ya Bunge saa chache baada ya polisi kuwapiga risasi waandamanaji kadhaa nje ya Majengo ya Bunge.
Image: SCREENGRAB

Waandamanaji wa Kupinga Mswada wa Fedha kati yao Jumanne mchana waliingia ndani ya Bunge.

Haya yanajiri muda mfupi baada ya wabunge kupitisha Mswada wa Fedha.

Waandamanaji hao waliingia ndani ya Bunge saa chache baada ya polisi kuwapiga risasi waandamanaji kadhaa nje ya Majengo ya Bunge.

Waandamanaji hao pia walichoma idadi ya magari ya Polisi huku hali ya wasiwasi ikiongezeka nje ya bunge.

Mengi yafuata;