Afueni kwa Kawira Mwangaza mahakama ikipiga breki kutimuliwa kwake ofisini

Jaji Bahati Mwamuye wakati uo huo alimzuia spika wa bunge la Seneti Amason Kingi kuchapisha notisi kwenye Gazeti la Kenya la tangazo la nafasi wazi katika afisi ya Gavana wa Kaunti ya Meru...

Muhtasari

• Ni ushindi kwa Gavana wa Meru aliyetimuliwa Kawira Mwangaza baada ya Mahakama Kuu kusitisha uamuzi wa Seneti wa kumtimua ofisini.

KAWIRA MWANGAZA.
KAWIRA MWANGAZA.
Image: FACEBOOK

Ni ushindi kwa Gavana wa Meru aliyetimuliwa Kawira Mwangaza baada ya Mahakama Kuu kusitisha uamuzi wa Seneti wa kumtimua ofisini.

Jaji Bahati Mwamuye wakati uo huo alimzuia spika wa bunge la Seneti Amason Kingi kuchapisha notisi kwenye Gazeti la Kenya la tangazo la nafasi wazi katika afisi ya Gavana wa Kaunti ya Meru...

Taarifa zaidi zinafuata...