Wanawake Maceleb waliopata watoto mabinti mwaka 2022

Hawa ni baadhi ya wanawake maarufu waliotangaza kubarikiwa na mabinti mwaka 2022.

Muhtasari

• Wanawake hawa wana ushawishi mbali mbali katika jamii kutoka ukuzaji maudhui mitandaoni, siasa, utangazaji na uanamuziki.

Maceleb walipata watoto wa kike
Radio Jambo Maceleb walipata watoto wa kike

Mwaka wa 2022 umekuwa ni wenye Baraka na furaha tele kwa familia za watu wengi maarufu nchini Kenya.

Haya hapa ni maelezo kupitia grafiki ya picha kuhusu wanawake maarufu nchini Kenya ambao kufikia mwezi Novemba mwaka 2022, tayari wametangaza kupata watoto wa kike.