Fahamu mataifa ambayo yameshinda Kombe la Dunia tangu 1950

Brazil imetwaa kombe hilo mara nyingi zaidi huku ikiwa imeibuka mshindi mara tano.

Muhtasari

•Ufaransa iliibuka washindi katika shindano la mwisho la Kombe hilo lililofanyika kwa Urusi mwaka wa 2018.

Image: WILLIAM WANYOIKE

Mataifa manane ya dunia yamewahi kushinda Kombe la Dunia tangu mwaka wa 1950. Mashindano ya kwanza ya Kombe la Dunia yalifanyika mwaka wa 1930 ambapo Uruguay illibuka mshindi.

Brazil imetwaa kombe hilo mara nyingi zaidi huku ikiwa imeibuka mshindi mara tano.

Ufaransa iliibuka washindi katika shindano la mwisho la Kombe hilo lililofanyika kwa Urusi mwaka wa 2018.