Maeneo ambayo majumba yaliporomoka mwaka wa 2022

Watu kadhaa waliaga dunia huku wengine wakijeruhiwa.

Muhtasari

•Visa vya nyumba hasa za ghorofa kuporomoka vimeripotiwa katika maeneo mbalimbali nchini Kenya mwaka wa 2022.

•Watu kadhaa waliaga dunia huku wengine wakijeruhiwa katika matukio ya majumba kuporomoka yaliyoshuhudiwa nyakati tofauti.

Maeneo ambayo majumba yameporomoka mwaka huu
Image: Hillary Bett