Muhtasari
• Ratiba hii inarejesha mihula ya masomo katika wakati ambao ulikuwa umezoeleka awali, baada ya ratiba hiyo kusambaratishwa na janga la Korona lililosababisha shule kufungwa kwa muda.