Muhtasari
• Ndoa ni kitu cha muhimu sana ambacho wengi wanakitaja kuwa takwa moja la Mungu kwa waja wake.
• Katika grafiki hii, tunakuandalia watu maarufu ukanda wa Afrika Mashariki ambao walitimiza takwa hili kwa kula yamini ya kuishi na wapenzi wao.