Makocha wa EPL ambao wametimuliwa msimu huu

Jumla ya mameneja sita wametimuliwa na vilabu tofauti vya EPL katika msimu wa 2022/23.

Muhtasari

•Timu ya Everton ilimpiga kalamu kocha wake Frank Lampard siku ya Jumatatu kufuatia msururu wa matokeo hafifu.

•Scott Parker alikuwa kocha wa kwanza kutimuliwa msimu wa 2022/23 wakati Bournemouth ilipokatiza mkataba wake mnamo Agosti 2022.

Image: HILLARY BETT

Jumla ya mameneja sita wametimuliwa na vilabu tofauti vya EPL katika msimu wa 2022/23.