Wanasiasa wa kike wenye mtindo wa nywele fupi

Watu wengi mashuhuri katika siku za hivi karibuni wamekuwa wakikumbatia mtindo wa nywele fupi.

Muhtasari

• Aliyekuwa mwakilishi wa kike wa Murang'a Sabina Chege kwa muda mrefu amejulikana kuweka nywele yake fupi kwa mtindo rahisi.

Wanasiasa wa kike wenye nywele fupi.
Wanasiasa wa kike wenye nywele fupi.
Image: Mumanyi