Je! Fred Matiang'i ni nani, jua umri na elimu yake

Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani Fred Matiang'i alisomomea shule ya upili ya Kisii na ni baba ya watoto wawili.

Muhtasari

• Alihudumu katika wizara mbali mbali chini ya uongozi wa rais mustaafu Uhuru Kenyatta, tangia mwaka 2013.

• Alihudumu kama waziri wa Habari na Mawasiliano – (2013 – 2015), waziri wa Elimu – (2015 – 2018) na Waziri wa mambo ya ndani – (2018 – 2022).

Image: ROSA MUMANYI