Majibu ya Ukur Yatani kwa mdhibiti wa bajeti Margaret Nyakang’o

Aliyekuwa waziri wa fedha Ukur Yatani alikanusha madai ya kumshinikiza Nyakang’o kuidhinisha malipo ya Shs.15 B.

Muhtasari

• Waziri wa zamani Ukur Yatani alisema sheria inamruhusu waziri wa fedha kuagiza malipo kabla ya idhini ya bunge.

Image: ROSA MUMANYI