Hakuna mchezaji wa Arsenal hata mmoja kwenye 10 bora ya wale wanaotazamwa sana TikTok

Timu za Mnachester City, Chelsea, Man U na Tottenham ndizo zenye wachezaji wanaotazwa sana.

Muhtasari

• Haaland si tu anaongoza katika ufungaji mabao laikini pia katika kutazamwa zaidi TikTok.

• Casemiro aliyeweka rekodi ya kupewa kadi nyekundu nyingi ndani ya michezo michache ni wa pili kwa kutazamwa zaidi TikTok.

Wachezaji wa ligi ya premia wanaotazamwa zaidi TikTok
Wachezaji wa ligi ya premia wanaotazamwa zaidi TikTok
Image: William Wanyoike