Forbes: Akothee ndiye msanii tajiri zaidi nchini Kenya, Bobi Wine aongoza Afrika Mashariki

Katika ukanda wa Afrika Mashariki, Akothee ndiye msanii wa kike pekee aliyejinafasi katika orodha ya wasanii matajiri kumi.

Muhtasari

• Bobi Wine anatajwa kuongoza orodha hiyo kwa utajiri wa bilioni 1.2 huku Diamond akimfuata kwa utajiri wa bilioni 1.09.

• Akothee ana utajiri wa bilioni 1 pesa za Kenya.

Wasanii matajiri zaidi katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Wasanii matajiri zaidi katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Image: Willia Wanyoike