Jinsi ya kuishi na ugonjwa wa Seli mundu (Sickle Cell)

Ugonjwa wa selimundu ni wa kurithi na mtu huzaliwa nao husababisha maumivu makali sana kwa waathiriwa.

Muhtasari

• Usikose kuwa na dawa za kutuliza maumivu na unatakiwa ujikinge dhidi ya maradhi ambukizi kama vile Malaria kwa sababu yanadhoofisha  mwili,.

Image: ROSA MUMANYI