Wakenya maarufu waliolilia msaada wa kifedha baada ya mambo kuwaendea mrama

Colonel Mustafa aliomba msaada baada ya kutumia fedha zake nyingi katika kugharamikia matibabu ya mamake anayeugua saratani.

Muhtasari

• Mpaka sasa, wasamaria wema wameweza kumchangishia zaidi ya shilingi milioni moja Mustafa ili kukimu bili ya matibabu ya mamake.

Wakenya maarufu walioitisha msaada wa kifedha.
Wakenya maarufu walioitisha msaada wa kifedha.
Image: WILLIAM WANYIOKE,