Timu zilizotawazwa mabingwa kabla ya msimu 2022/23 kukamilika

Wikendi kufuatia ushindi wa 4-2 dhidi ya Dodoma Jiji, Yanga SC kutoka Tanzania walitawazwa mabingwa mara 29 katika ligi ya NBC, mechi 3 zikiwa zimesalia.

Muhtasari

• Barcelona ya Uhispania pia walitawazwa mabingwa huku La Liga ikiwa imesalia na mechi 4 kukamilika.

Vilabu kutoka ligi mbalimbali vilivyoshinda ubingwa huku mechi kadhaa zikiwa zimesalia.
Vilabu kutoka ligi mbalimbali vilivyoshinda ubingwa huku mechi kadhaa zikiwa zimesalia.
Image: Hilary Bett