Mahrez, Drogba, Essien: Wachezaji wa Afrika walioshinda EPL mara nyingi zaidi

Chelsea ndio timu inaongoza kwa wachezaji wa Afrika ambao wameshinda EPL mara nyingi zaidi wakichezea miamba hao.

Muhtasari

• Riyad Mahrez na Kolo Toure ndio wachezaji wa pekee hadi sasa kuwahi kushinda EPL na timu mbili tofauti.

Wachezaji wa Kiafrika walioshinda EPL mara nyingi zaidi.
Wachezaji wa Kiafrika walioshinda EPL mara nyingi zaidi.
Image: WILLIAM WANYOIKE