Muhtasari
• Wikendi iliyopita, msanii huyo aliweka rekodi nyingine ya kuwa msanii mwafrika wa kwanza kujaza uwanja wa watu 80k nchini Uingereza.
• Burna Boy ndiye msanii pekee wa Afrika ambaye amewahi kutumbuiza kwenye tuzo za BET, BRIT, Grammy na Billboard.