Wafahamu mastaa wa Kenya wanaowatumbuiza wakenya wakiwa Ughaibuni

Watumbuizaji wengi Wakenya ambao wamehama kutoka nchini wameonekana kupendelea kuishi Marekani.

Muhtasari

•Baadhi ya Wakenya wanaoishi nje ya nchi wameendelea kuburudisha wananchi wenzao kwenye mitandao tofauti ya kijamii.

Mastaa wa Kenya wanaowatumbuiza wakenya wakiwa Ughaibuni
Image: HILLARY BETT

Licha ya kuwa mbali, baadhi ya Wakenya wanaoishi nje ya nchi wameendelea kuburudisha wananchi wenzao kwenye mitandao tofauti ya kijamii.

Watumbuizaji wengi Wakenya ambao wamehama kutoka nchini wameonekana kupendelea kuishi Marekani.