Majina ya kibabe yaliyovutiwa na Boyz II Men katika tamasha la Stanbic Yetu

Wanasiasa Hassan Joho, Johnson Sakaja, Peter Kenneth ni miongoni mwa majina makubwa yaliyovutiwa na ujio wa bendi hiyo ya Marekani Kenya.