Safari ya N'Golo Kante kwenye Soka

N'Golo Kante amekuwa kichezea Chelsea lakini ameondoka na kujiunga na Al-Ittihad ya Saudi Arabia.

Muhtasari

• Alianza rasmi soka ya kulipwa katika timu ya Boulogne na atakumbukwa kwa kushinda mataji mawili ya ligi ya primia na vilabu viwili mfulululizo.

Image: WILLIAM WANYOIKE