Mfahamu kwa undani mume wa Zari, Shakib Cham Lutaaya

Siku ya Jumatano, Shakib alifichua kwamba wanaume wengi wamekuwa wakiumezea mate mwili wake.

Muhtasari

•Shakib Cham alizaliwa na kulelewa nchini Uganda kabla ya kuhamia nchini Afrika Kusini kwa sababu za kikazi.

Maelezo muhimu kumhusu mume wa zari, Shakib Cham
Image: ROSA MUMANYI