Wafahamu mastaa waliohudhuria mechi mbili za kwanza za Messi katika MLS

Mshambulizi nyota Lionel Messi ameichezea Inter Miami mechi mbili tangu ajiunge nao mwezi Juni.

Muhtasari

•Mshambulizi Lionel Messi sasa ameichezea klabu yake mpya Inter Miami mechi mbili tangu ajiunge nayo mwezi uliopita.

•Muargentina huyo mwenye umri wa miaka 36 tayari ameifungia klabu yake mpya mabao matatu na kusaidia bao moja.

waliohudhurua mechi za kwanza za Messi MLS
Mastaa waliohudhurua mechi za kwanza za Messi MLS
Image: HILLARY BETT
Mastaa waliohudhuria mechi za kwanza za Messi MLS
Image: HILLARY BETT