Wasanii wa Kenya walioteuliwa kuwania tuzo za AFRIMMA mwaka huu

Bendi ya Sauti Sol iliteuliwa katika vitengo viwili - kitengo cha kundi bora la muziki na kitengo cha watumbuizaji bora wa moja kwa moja jukwaani.

Muhtasari

• Nadia Mukami, Nikita Kering, Fena Gitu ni baadhi ya wasanii watakaowania na wenzao kitengo cha msanii bora wa kike Afrika Mashariki.

Wasanii wa Kenya kuwania Afrimma.
Wasanii wa Kenya kuwania Afrimma.
Image: WILLIAM WANYOIKE