Fahamu mahitaji muhimu ili mtu ajiunge na KDF

Usajili wa makurutu ulianza Julai 28 na unatarajiwa kukamilika Agosti 20.

Muhtasari

•Usajili wa KDF kwa sasa unaendelea nchini kote na waajiri wanatafuta sifa fulani za kimwili, stakabadhi na tabia za waomba nafasi.

Kinachohitajika ili ujiungena KDF
Image: HILLARY BETT