Messi: Mchezaji aliyepambwa zaidi katika ulimwengu wa soka, haya ni baadhi ya mataji

Wikendi iliyopita baada ya kuisaidia Inter Miami kushinda taji lake la kwanza kwenye historia, liikuwa ni taji la 44 kwa jumla kwa mchezaji huyo.

Muhtasari

• Messi sasa ndiye mchezaji aliyetunuiwa zaidi kwa mataji mengi kutoka kwa timu ya taifa hadi kwenye vilabu vya soka.

Mataji ya Messi
Mataji ya Messi