Tazama safari ya mapenzi ya Vera Sidika na Brown Mauzo kutoka kukutana hadi kuachana

Wawili hao walikuwa wameoana kihalali lakini bado hawakuwa wamefanya harusi.

Muhtasari

•Wazazi wenza hao wawili walikutana kwa mara ya kwanza mwaka wa 2019 kabla ya kuanza kuchumbiana 2020.

Safari ya mapenzi ya Vera Sidika na Brown Mauzo
Image: HILLARY BETT