Kaunti ambazo wabunge wanataka zigawanywe ili kuongeza kaunti zingine 11

Baadhi ya kaunti ambazo zieorodheshwa ni Kisii, Bungoma, Hmabay, Meru miongoni mwa zingine na idadi ya kaunti kwa jumla inatarajiwa kufika 59 kutoka 47 za sasa.

Muhtasari

• Wabunge hao 26 walisema kuwa kuna haja ya kuongezeka kwa kaunti ili kurahisisha ugavi wa mapato.

Kaunti za Kugawanywa
Kaunti za Kugawanywa
Kaunti za kugawanywa,
Kaunti za kugawanywa,