Mtaachana tu: Maceleb wa Kenya ambao wameachana 2023

Brown Mauzo wiki jana alithibitisha kwamba yeye na mamake wanawe wawili, Vera Sidika wameshindwa kuendeleza uhusinao wao na kuona ni vizuri kila mmoja kujishughulisha na hamsini za kwake.

Muhtasari

• Jackie Matubia ni miongoni mwa maceleb ambao pia wamevunja uhusiano wao 2023.

Watu walioachana 2023
Watu walioachana 2023
Image: HILLARY BETT