Wasanii Afrika walioingia jukwaani wakiwa wamebebwa ndani ya jeneza kama maiti

Khaligraph alikuwa msanii wa kwanza Afrika Mashariki kuingia jukwaani akiwa ndani ya jeneza miaka 6 iliyopita kabla ya kitendo hicho kuigwa na Ibraah mwaka jana na Diamond mwaka huu.

Muhtasari

• Jumatatu kulikuwa na vita vya maneno mitandaoni baada ya Khaligraph kudai kuwa Diamond aliiga wazo lake la miaka 6 iliyopita.

• Kwa tamaduni za Kiafrika, kutumia jeneza kwa ajili ya matumbuizo hukemewa vikali kwani ni kama njia moja ya kuapiza kifo.

Wasanii wa Afrika waliowahi kuingia jukwaani wakiwa ndani ya jeneza
Wasanii wa Afrika waliowahi kuingia jukwaani wakiwa ndani ya jeneza
Image: Rosa Mumanyi