Wahubiri watakiwa kulipa ushuru wa Ksh 500 kwa siku kuhubiri jijini Nairobi

Kando na wahubiri, uongozi wa gavana Sakaja pia unalenga wahudumu wa bodaboda ambao sasa watahitaji utoa ushuru wa shilingi elfu moja ili kuingiza abiria na mizigo jijini.

Muhtasari

• Gavana Sakaja amelenga kukusanya ushuru kutoka kwa kila sekta kama njia ya kuendeleza na kuboresha jiji la Nairobi ambalo ni kitovu cha uchumi wa Kenya.

Tozo zilizopendekezwa Nairobi.
Tozo zilizopendekezwa Nairobi.
Image: Hillary Bett.