Muhtasari
• Yusuf Lule alitawala Uganda baada ya mapinduzi ya mwezi Aprili, 1979, lakini pia akapinduliwa baada ya siku 68.
• Tito Okello alihudumu kama rais wa Uganda kwa takriban miezi sita kutoka kati ya Julai 1985 – Jan 1986.
• Mohamed Morsi wa Misri alishinikizwa kutoka mamlakani baada ya mwaka mmoja.