Queen of the East: Nadia Mukami aongoza wasanii wa kike kunyakua tuzo za Afrimma

Nadia Mukami akitangazwa kuwa malkia wa muziki mzuri Afrika Mashariki, mwenzake Ayra Starr alituzwa kama msanii bora wa Afrika Magharibi huku Tiwa Savage akishinda kolabo bora na Spyro

Muhtasari

• Nadia Mukami alikuwa na ushindani mkali kutoka kwa wasanii wenzake ukanda wa Afrika Mashariki kama Zuchu na Maua Sama.

Tuzo za Afrima
Tuzo za Afrima