Fahamu mastaa waliotafutwa zaidi mwezi Septemba kwenye Google, sio Messi wala CR7!

Hivi majuzi Google imesherehekea miaka 25 ya kutoa huduma za utafutaji wa mtandaoni na walitoa orodha kamili ya watu maarufu ambao walitafutwa zaidi katika mwezi Septemba.

Muhtasari

• Watu wengi walidhani mastaa wa soka Christiano Ronaldo na Lionel Messi ndio wangeongoza katika kutafutwa google lakini sivyo.

Watu waliotafuta zaidi Google
Watu waliotafuta zaidi Google
Image: ROSA MUMANYI
Image: ROSA MUMANYI