African Football League: Unachohitaji kujua kuhusu Ligi ya Soka ya Afrika (AFL)

Washindi watapata Ksh 600.32m huku timu itakayoibuka ya pili ikiondoka na Ksh 450.24m.

Muhtasari

•Rais wa FIFA, Gianni Infantino na kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger walikuwepo mnamo siku ya ufunguzi.

Unachohitaji kujua kuhusu Ligi ya Soka ya Afrika (AFL)
Image: WILLIAM WANYOIKE
Unachohitaji kujua kuhusu Ligi ya Soka ya Afrika (AFL)
Image: WILLIAM WANYOIKE
  • Ilitangazwa na rais wa FIFA, Gianni Infantino mwaka wa 2019.
  • Ilizinduliwa mara ya kwanza na CAF mnamo Agosti 10, 2022.
  • Ilianza rasmi Oktoba 20, 2023 jijini Dar es Salaam, Tanzania.
  • Rais wa FIFA, Gianni Infantino na kocha wa zamani, Arsene Wenger walikuwepo siku ya ufunguzi.
  • Ilipangwa kujumuisha vilabu 24, CAF ikapunguza hadi 8 kwa msimu wa kwanza.
  • Timu zilichaguliwa kutoka kwa ligi 8 bora barani Afrika.
  • Timu zote zinazoshiriki zina uhakika wa kutunzwa Ksh 150m
  • Timu zitakazotinga nusu fainali zitazawadiwa Ksh 255.1m
  • Timu itakayoibuka ya pili itaondoka na Ksh 450.24m
  • Washindi watapata Ksh 600.32m