Ratiba ya mtihani wa kitaifa wa gredi ya sita (KPSEA) 2023

Kila mtahiniwa atapewa karatasi ya majibu iliyobinafsishwa yenye jina lake sahihi na nambari ya tathmini.

Muhtasari

• Chini ya mtaala mpya wa CBC watahiniwa wa KPSEA watajiunga na Junior school baada ya kukamilisha shule ya msingi.

Image: HILLARY BETT